Tuesday, January 8, 2013

OMARI OMARI AFARIKI DUNIA

Msanii mkongwe wa bongo fleva kwenye mziki wa mahadhi ya mchiriku maarufu kama Omari Omari  amefariki alfajiri ya leo katika hospitali ya wilaya ya Temeke. Habari zilizotufikia hivi punde kutoka kwa ndugu wa karibu wa marehemu amesema kwamba mazishi yatafanyika kesho saa 7 mchana shughuli za mazishi zitafanyika kwa baba yake mzazi maeneo ya Temeke mikoroshini.

No comments:

Post a Comment